Mkaa huu unao safirishwa toka Handeni kuelekea Dar es Salaam, umekamatwa kwenye Geti la Bagamoyo Korogwe Mji na baada ya kugoma kulipa ushuru kwa ujazo unaokubalika kisheria yaani ujazo wa debe sita sawa na gunia moja, ili walazimu kufikishana kwa wakala wa misitu TFs na baadae kwa Mwanasheria wa Mji, nae Afisa Maliasili wa Mji Korogwe alikuwa anafuatia kwa karibu sebeni hilo.
No comments:
Post a Comment