Monday, April 17, 2017
Friday, April 14, 2017
AFISA MALIASILI NA MAZINGIRA ASISITIZA NI MARUFUKU KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU USIKU
Imenilazimu kupiga simu polisi baada ya kuona zigo hili la mkaa linataka kusafirishwa usiku muda ambao hautakiwi kusafirisha mazao ya misitu.
MWANASHERIA WA KOROGWE MJI ASISITIZA UZINGATIAJI WA SHERIA - BIASHARA YA MAZAO YA MISITU TANGA - TANZANIA
Mkaa huu unao safirishwa toka Handeni kuelekea Dar es Salaam, umekamatwa kwenye Geti la Bagamoyo Korogwe Mji na baada ya kugoma kulipa ushuru kwa ujazo unaokubalika kisheria yaani ujazo wa debe sita sawa na gunia moja, ili walazimu kufikishana kwa wakala wa misitu TFs na baadae kwa Mwanasheria wa Mji, nae Afisa Maliasili wa Mji Korogwe alikuwa anafuatia kwa karibu sebeni hilo.
Tuesday, April 4, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)