Friday, February 17, 2017

Friday, February 10, 2017

UZINDUZI WA MAZOEZI YA VIUNGO WILAYA YA KOROGWE



Mkuu wa wilaya Korogwe azindua rasmi mazoezi ya viungo ya kila mwezi ambayo yatakuwa kila jumamosi ya Pili ya Mwezi, Korogwe tunafanya Mazoezi ya viungo kwa watumishi wote wa Mji Korogwe.

TAKA TAKA NI MALI, NI FRUSA YA KUJIKOMBOA KIUCHUMI



                       Korogwe Mji tunahamasishaTakataka i.e Makopa ya Maji yaokotwe na kuuzwa kwenda viwandani kutengenezwa vifaa vingine. Pia kipo kiwanda kidogo cha kuyaweka sawa makopo haya iliyaweze kufungashwa na kupelekwa Dar es Salaam kwa Recycling for Reuse which reduce Environmental Pollution.

TUNAHAMASISHA KUTUMIA NISHATI MBADALA WA VIWASHIO VYA MOTO BADALA YA KUTUMIA MIFUKO YA RAMBO


Ukifika Korogwe Mji tutakuunganisha na wauzajiwetu wa nishati hii nzuri kwa kuashia moto bila kutoa harufu yeyote, bila kutoa moshi wenye sumu kama ule wa mifuko ya rambo. KARIBUNI KOROGWE MJI TUHIFADHI MAZINGIRA NA KUYATUNZA Kwa manufaa ya Kizazi kilichopo na kijacho.