Tuesday, January 24, 2017

UHIFADHI WA MAZINGIRA KOROGWE MJI UWE SAMBAMBA NA UANDISHI WA MAANDIKO YA MIRADI YA MAZINGIRA


Uhifadhi wa mazingira ni kazi ya kisayansi inayohitaji umakini na utendaji wa kujitolea kwani matunda yake hupatikana baada ya kipindi kirefu, wote kwa pamoja kama timu mazingira yetu yatakuwa salama.

No comments: