Tuesday, January 24, 2017

AFISA MAZINGIRA AWASILISHA ANDIKO LA KWANZA MOROGORO

Andiko hili lilipata fedha upande wa wilaya mwaka 2014

UHIFADHI WA MAZINGIRA KOROGWE MJI UWE SAMBAMBA NA UANDISHI WA MAANDIKO YA MIRADI YA MAZINGIRA


Uhifadhi wa mazingira ni kazi ya kisayansi inayohitaji umakini na utendaji wa kujitolea kwani matunda yake hupatikana baada ya kipindi kirefu, wote kwa pamoja kama timu mazingira yetu yatakuwa salama.

Wednesday, January 11, 2017

UHIFADHI WA MAZINGIRA





         Maandalizi ya Uhifadhi wa Mazingira ya Mto pangani, Korogwe Mji.

MZEE HARUNA AENDA KUANZA KAZI


       Baba Haruna na Mzee Nemhina waenda kuanza leo 11.01.2017

Monday, January 9, 2017

MAISHA NA KAZI, UTHAMINI 2014

                               Mtendaji wa Mtaa wa Kilole Mazese ndugu Simon Mlimi akutana na Mkaguzi wa Uthamini wa majengo Mji wa Korogwe 2014

MAISHA NA KAZI 2015

                                  Ndugu Joyce Mbezi - Ardhi Mji Korogwe

Saturday, January 7, 2017