Friday, December 8, 2017
Saturday, November 25, 2017
Thursday, October 19, 2017
Tuesday, October 3, 2017
MJUMBE WA KAMATI YA SUMATRA CCC MKOA WA TANGA APAZA SAUTI KWA NJIA YA REDIO - KOROGWE, TANGA
DTO Korogwe na Mjumbe wa Kamati ya SUMATRA CCC wakitoa elimu kwa njia ya Redio - Korogwe, Tanga - Tanzania.
Friday, September 22, 2017
Sunday, September 10, 2017
Saturday, August 19, 2017
KARIBU KOROGWE MJI
Ulizia Idara ya Usafi na Mazingira, Kitengo cha Maliasili na Utalii, Hifadhi ya Mazingira, Tathmini ya Athari za Mazingira (ESIA), Afya ya Mazingira, Mipango ya Mazingira na Utafiti na Utawala wa Mazingira . Utapatahuduma zote za Masuala ya Mazingira, Maliasili na Utalii endelevu ( Eco - tourism ).
Tuesday, August 1, 2017
MNARA WA KUMBUKUMBU YA UKOMBOZI WA MSUMBIJI - CHAMA CHA FRELIMO OFISI YAKE, KOROGWE MJI, TANGA - TANZANIA
Alama ya Mkuki na ngao imehifadhiwa kwa usalama zaidi ila huwa inakuwepo kwa usalama wa historia hii muhimu ya Nchi ya Msumbiji na Chama cha FRELIMO.
Sunday, July 23, 2017
Tuesday, July 18, 2017
Wednesday, July 5, 2017
Monday, April 17, 2017
Friday, April 14, 2017
AFISA MALIASILI NA MAZINGIRA ASISITIZA NI MARUFUKU KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU USIKU
Imenilazimu kupiga simu polisi baada ya kuona zigo hili la mkaa linataka kusafirishwa usiku muda ambao hautakiwi kusafirisha mazao ya misitu.
MWANASHERIA WA KOROGWE MJI ASISITIZA UZINGATIAJI WA SHERIA - BIASHARA YA MAZAO YA MISITU TANGA - TANZANIA
Mkaa huu unao safirishwa toka Handeni kuelekea Dar es Salaam, umekamatwa kwenye Geti la Bagamoyo Korogwe Mji na baada ya kugoma kulipa ushuru kwa ujazo unaokubalika kisheria yaani ujazo wa debe sita sawa na gunia moja, ili walazimu kufikishana kwa wakala wa misitu TFs na baadae kwa Mwanasheria wa Mji, nae Afisa Maliasili wa Mji Korogwe alikuwa anafuatia kwa karibu sebeni hilo.
Tuesday, April 4, 2017
Monday, March 6, 2017
Friday, February 17, 2017
Tuesday, February 14, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)