Monday, April 18, 2016

AFISA MAZINGIRA AKUTANA NA MCHINA KOROGWE MJI

Mkulima huyu wa Kichina akilima zao la Madodoki eneo la OldKorogwe amekutana na adha ya mafuriko inayoendelea hapa Korogwe baada ya Mto pangani kufurika kupita maelezo.

No comments: