Wednesday, April 27, 2016

TREE PLANTING KWAMDULU ESTATE



Diwani wa Kata ya Kwamsisi na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kwamsisi wakipanda Mti Kwamdulu Estate Korogwe Mji.

Monday, April 18, 2016

AFISA MAZINGIRA AKUTANA NA MCHINA KOROGWE MJI

Mkulima huyu wa Kichina akilima zao la Madodoki eneo la OldKorogwe amekutana na adha ya mafuriko inayoendelea hapa Korogwe baada ya Mto pangani kufurika kupita maelezo.