Saturday, May 9, 2015

KARIBUNI OFISINI HALMASHAURI YA MJI KOROGWE





Hapa Ofisini tunatoa huduma mbalimbali kama vile Kuandaa Hati miliki za viwanja, Kutoa ushauri juu ya miliki za ardhi kisheria na kanuni zake, Kutoa ushauri juu ya uendelezaji wa viwanja, kushauri namna ya kupima mashamba n.k.

No comments: