Saturday, May 30, 2015

TANGA RAHA NA HII NIMEIPENDA


              Hii ndiyo Tanga Jiji unaingia eneo la Kwaminchi Tanga.

KARIBU NYUMBANI



Mgeni wetu ametutembelea Mwei 9, 2015 Wamboni, changwa na munie.

Saturday, May 23, 2015

MTUMISHI MWENZETU JAKSON MZUNGU AUMWA, DAR MAY, 2015

                    Pole sana Mr. Mzungu mungu akuwezeshe urudi kazini mapema.

VIJANA WAPATA MGENI MAY 09, 2015



                  Madogo hao wamepata mgeni wao May 09, 2015 Asubuhi.

Saturday, May 9, 2015

KARIBUNI OFISINI HALMASHAURI YA MJI KOROGWE





Hapa Ofisini tunatoa huduma mbalimbali kama vile Kuandaa Hati miliki za viwanja, Kutoa ushauri juu ya miliki za ardhi kisheria na kanuni zake, Kutoa ushauri juu ya uendelezaji wa viwanja, kushauri namna ya kupima mashamba n.k.

Sunday, May 3, 2015

KUMBUKUMBU YA MZEE APRIL 29, 2015


                      Hatumwi mtoto ninagawa mwenyewe chakula watu wale 
                             sadaka. Tarehe 29/04/2015 Msaje Handeni Tanga.