Friday, February 14, 2014

UNAKUMBUKA HII SAFARI?

Ndio nimemaliza Chuo Kikuu nimelala Lushoto Mjini kuelekea Korogwe, Aidha Begi zote hizo ziliibwa eneo la Mangamba Kosti na kuzikuta Lushoto Mjini kwenye Stoo ya wapiga Debe.

No comments: