Monday, January 28, 2013

UKUMBI WA MAMBA CLUB KOROGWE MJINI

Karibu Ukumbi wa Mamba Club uliopo Korogwe Mjini. Mmiliki wa ukumbi huu ni Mh. Mbunge wa Korogwe Vijijni a.k.a Profesa Maji Marefu. Ukumbi huu ni moja ya kivutio cha utalii kwani shughuli za kijamii kama vile Harusi, mikutano, dance na sherehe mbalimbali huwa zinafanyika hapa kwenye ukumbi huu.

1 comment:

Anonymous said...

Thanks i will visit Korogwe Town to see Mamba Club.