Thursday, January 31, 2013

MAFUNZO KWA VITENDO NILO

Tukiwa katika picha ya pamoja na Mhifadhi wa Nilo na Msimamizi wetu wa Mafunzo kwa vitendo.

Tuesday, January 29, 2013

Monday, January 28, 2013

WANAMAMBEGA NDANI YA BLOG

Wanamambega na Husna wanajiandaa kwenda Tanga Mjini.

UKUMBI WA MAMBA CLUB KOROGWE MJINI

Karibu Ukumbi wa Mamba Club uliopo Korogwe Mjini. Mmiliki wa ukumbi huu ni Mh. Mbunge wa Korogwe Vijijni a.k.a Profesa Maji Marefu. Ukumbi huu ni moja ya kivutio cha utalii kwani shughuli za kijamii kama vile Harusi, mikutano, dance na sherehe mbalimbali huwa zinafanyika hapa kwenye ukumbi huu.

SAFARI YA DAR ES SALAAM

Mr. Lungo nikiwa ndani ya basi kuelekea Dar es Salaam kuhudhulia Mkutano wa Mkurabita. Mimi ni Mratibu wa Mkurabita kutoka Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Mkoa wa Tanga.

Friday, January 25, 2013

NILO NATURE RESERVE

                                    Nilo wakati wa field ya mwaka 2012

DEADLINE JUMATATU

Mr. Lungo nikiwa tayari nimeshamaliza kuandaa blogu yangu ulipita msamaha wa rais kwa ambao hawajamliza mpaka Jumatatu tarehe 28.01.2013.Thanks to Mr.Mhode unasikilza shida za wanafunzi wako.That is why we like U!.
Mr. Lungo atafakari juu ya kuiendeleza Blog yake muhimu.