Friday, March 2, 2018

SHULE YA SEKONDARI MASHINDEI KOROGWE WAFANYA UTAFITI WA UDHIBITI WA TAKA KOROGWE MJI


Jumla ya Wanafunzi kumi wa Shule ya Sekondari ya Mashindei Korogwe, walipata fursa ya kujifunza Mfumo wa udhibiti wa Taka Korogwe Mji. Aidha, Wanafunzi waliuliza maswali yakutosha ilikuweza kujifunza zaidi, Machi 2, 2018.