Ulizia Idara ya Usafi na Mazingira, Kitengo cha Maliasili na Utalii, Hifadhi ya Mazingira, Tathmini ya Athari za Mazingira (ESIA), Afya ya Mazingira, Mipango ya Mazingira na Utafiti na Utawala wa Mazingira . Utapatahuduma zote za Masuala ya Mazingira, Maliasili na Utalii endelevu ( Eco - tourism ).