Saturday, December 31, 2016
USAFI WA MAZINGIRA NI ZOEZI ENDELEVU
Tukiendelea na ufuatiliaji wa usafi wa mazingira mtaa wa mbeza kata ya Manundu - Korogwe Mji. Leo tarehe 31.12. 2016
Thursday, December 15, 2016
MHITIMU WA SEKOMU, 2013
Mungu muweza wa yote nilimaliza salama chuo kikuu SEKOMU mwaka husika, kweli mungu ndie mpamgaji wa yote.
MHIFADHI MAZINGIRA - KOROGWE MJI, 2015
Mhifadhi wetu aliiwakilisha Halmashauri yetu na kurudi na Cheti cha Mazingira kwa mara ya kwanza kwa historia ya kuanzishwa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Kitaifa Mkoani Tanga mwaka 2015.
Thursday, December 1, 2016
Sunday, November 27, 2016
Saturday, November 26, 2016
MIMI BALOZI WA USALAMA BARABARANI
SHEREHE ZA UZINDUZI WA KAMPENI ZA ABIRIA PAZA SAUTI, Katika Stand ya Ubungo Basi Terminal Dar es Salaama - TANZANIA.
Tuesday, November 22, 2016
Friday, November 18, 2016
MBADALA WA MIFUKO YA RAMBO
Mchezaji Luiz Figo akabidhiwa zawadi ndani ya kifungashio maridhawa kabisa kwa Uhifadhi wa Mazingira.
Wednesday, September 21, 2016
ASSESSMENT OF TEACHING PRACTICE AT SHEMSANGA SECONDARY SCHOOL
Mungu ni Mwema hatimae Jana tarehe 20/09/2016. Nilipata Mgeni kutoka chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima Bi Salome Tondi, alifika kuja kunikagua zoezi langu la field ya Diploma ya Ualimu. Nilipata taarifa ya ujio wake tarehe 18/09/2016 siku ya juma pili jioni, sifa za pekee kwake Mwl. Zuberi Bakari wa Shemsanga Secondary School na wanafunzi wake wa Form Four 2016 wa Geography !!!
Monday, August 1, 2016
Thursday, July 28, 2016
SAFARI YA KWAMKONO
Husna Athumani Ally Mbaruku Mwikalo aenda kwenye arobaini ya shangazi yake Kwamkono - Handeni. Nijambo jema kuungana na ndugu wa pande zote ilikushirikiana kijamii zaidi. Nauli ni Tsh 3,000 x 2 = 6,000/=. Gari inaondoka Standi ya Korogwe Mjini kila siku saa 6.30 Mchana. Tarehe 26/07/2016.
Thursday, July 21, 2016
ASASI YA HIFADHI MAZINGIRA NA UKIMWI YA SHIRIKI SIKU YA UPANDAJI MITI
Timu ya Asasi ya Uhifadhi Mazingira na Elimu ya Ukimwi (HIMEU) wameungangana na watumishi wa Idara za Halmashauri kupanda Miti siku ya Upandaji Miti.
Friday, July 1, 2016
Tuesday, June 7, 2016
Sunday, May 15, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)