Friday, August 21, 2015

Wednesday, August 19, 2015

ENDESHA SALAMA, OKOA MAISHA





Mimehudhuria maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama mkoani Tanga huku nikiwa na majeraha kwa ajali ya Nisani ya Ugweno na Semi eneo la Maguzoni, Muheza.

WIKI YA NENDA KWA USALAMA KITAIFA MKOANI TANGA








Rais Jakaya Mrisho Kikwete alihutubia Maadhimisho haya viwanja vya Tangamano Mkoani Tanga tarehe 3/8/2015.