Saturday, April 4, 2015

MZEE ALIYEKOSWA NA MAFURIKO NA ALIPOTEZA WATOTO WAKE 8 KWA SIKU MOJA TU


   Mzee huyu alijengewa nyuma anayoionyesha na serikali ya tanzania.

MTI HUU WA MWEMBE UMEKATWA KWA LENGO GANI?

Nimesikitishwa mti huu kukatwe tena maeneo karibu na shule ya msingi kwasemangube, je umeekatwa kwa makosa gani? ina maana wazee wazamani walio upanda walikosea.

JE UNAJUA CHOMBO HIKI, UNAJUA KINATUMIKA JE, KINAPATIKANA WAPI, KARIBU TANGA UJIONEE MAMBO MAZURI.


 Kipo kilole Manzese kwa mzee wetu maalumu kwa matumizi maalumu.

MAAJABU YA MUNGU KWASEMANGUBE KOROGWE MJI - TANGA


      Mzee huyo ameoteshwa kuwa chini ya Ardhi kuna masanduku ya fedha naye kwa ushirikiano mwema na familia yake alichimba shimo kiwango hiki, mimi Afisa Maliasili na mazingira nilimsimamisha na kumsahauri aende kufanya shughuli za kilimo apate mazo na kuongeza kipato chake na sio kumaliza nguvu zake bure bila mafanikio.

ENEO LA MHESHIMIWA LILILO MFIKISHA MAHAKAMANI YA MWANZO KOROGWE


 Mgogoro umekwisha na mhe. Amerudishiwa eneo lake lote mapema mwaka 2014.

KUTEMBELEA BAHARINI NA WATOTO NI MUHIMU

                               Tumetembelea hapo kuuwaga mwaka 2014