Tuesday, February 5, 2013

TUTAFIKA SAFARI YETU

Tumekwama njiani mti umeanguka njiani tunautoa na tutaendelea na safari yetu. Hapa nindani ya Msitu wa Asili Nilo.

Sunday, February 3, 2013

TIMU YA MAZINGIRA YA KIJIJI CHA MAGOMA

Maofisa wa Hifadhi ya Msitu wa Asili Nilo na Kikundi cha Mazingira cha Magoma.

Friday, February 1, 2013

TUTAFIKA SAFARI NI HATUA

Hapa tupo ndani ya Hifadhi ya Nilo tunatoka Kilangangua Range tunakwenda Kizerui Range mambo ya Nature Conservation and Tourism si mchezo.